Tuesday, April 24, 2012

HAYA NDIO MAZINGIRA MAGUMU ALIYOPITIA MADEE WAKATI AKIRECORD NGOMA YAKE YA KWANZA "KAZI YAKE MOLA"


Je unafahamu Story nyuma ya Ngoma "KAZI YAKE MOLA" ya Rapper Madee aliyoirecord miaka kibao iliyopita?
alipata Tabu mnoooo, kwanza ngoma hiyo ilikua ni maalum kwa ajili ya kuwa kumbuka ndugu waliokufa wa familia ya Jirani yake,
Pamoja na kuwa Hit lakini aliiuza kwa shilingi Laki mbili ambazo mpaka leo bado hajamaliziwa mshiko wake
msikze Rais wa Manzese Madee alipofunguka ndani ya XXL ya Clouds Fm, ndani ya MIC CHECK 1-2


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.