WIMBO BORA WA RAGGAE:
ARUSHA GOLD BY WARRIORS FROM THE EAST
WIMBO BORA WA DANCE HALL:
MANENO MANENO BY QUEEN DARLIN
WIMBO BORA ZOUK RHUMBA:
DUSHELELE BY ALI KIBA
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA KIASILI:
VIFUU UTUNDU BY ALLY TALL/ A.T
WIMBO BORA WA TAARAB:
NANI KAMA MAMA BY MASHAUZI CLASSIC (AISHA MASHAUZI)
WIMBO BORA WA KISWAHILI:
DUNIA DARAJA BY TWANGA PEPETA
Wimbo bora wa afro Pop:
Hakunaga by Suma lee
Wimbo bora wa Rnb:
Number One Fan by Ben Pal
Wimbo Bora wa Hip Hop:
Mathematics by Roma
Msanii Bora anayechipukia (Best Up Coming Artist)
Ommy Dimplez (Nai Nai Singer)
Rapa Bora wa Bendi:
Kalijo Kitokololo
Msanii Bora wa Hip Hop:
Roma
Wimbo Bora wa kushirikishwa:
Nai nai by Ommy Dimplez ft Ali Kiba
Wimbo bora Wa Afrika Mashariki:
Kigeu geu by Jaguar
Mtumbuizaji Bora wa Kike:
Khadija Kopa
Mtumbuizaji bora wa kiume:
Diamond Platinum
Mtunzi Bora wa Mwaka:
Diamond Platinum
Mtaarishaji Bora wa Muziki/ Producer Bora wa Mwaka:
Maneke wa A.M Records
Video Bora ya Mwaka:
Moyo wangu By Diamond
Wimbo Bora wa Mwaka:
Hakunaga By Sumalee
Hall of Fame/ Taasisi:
Kikundi cha JKT Taarab
Hall of Fame/ Band:
King Kikii na Band
Hall of Fame/ Tuzo kwa mtu Binafsi:
Remmy Ongala
Mwimbaji Bora wa Kike:
Lady Jay Dee
Mwimbaji Bora wa Kiume:
Barnaba