- Ahoji kwanini Nikki alipewa nafasi ya Usemaji wa "Weusi"
- Eti bora angepewa G Nako nafasi hiyo
|
Kalapina |
BAADA YA NIKKI WA PILI KUTAMKA KUWA YEYE NI MUUMINI WA DINI ZA KIENYEJI NA SI MKRISTO KAMA WENGI WANAVYODHANI, MC MKONGWE KATIKA SCENE YA BONGO HIP HOP, NAMZUNGUMZIA KARAMA MULLAH FROM BLOCK 41 KIKOSI CHA MIZINGA MTU MZIMA KALAPINA, AMEMPINGA VIKALI MSANII HUYO NA KUSEMA KUWA NIKKI NI MFUASI WA DINI YA SHETANI A.K.A FREEMASON, KALAPINA AKAENDA MBALI ZAIDI KWA KUSEMA KUWA ANASHANGAA NIKKI WA PILI KUPEWA NAFASI YA USEMAJI KATIKA KAMPUNI YA WEUSI INAYOUNDWA NA RAPPER JOH MAKINI, LORD EYEZ, BONTA NA G-NAKO, NA BADALA YAKE NAFASI HIYO ANGEPEWA G NAKO KWANI NIKKI HAFAI KWASABABU ANAONGEAGA PUMBA, PINA AKAONGEZA “Kama kusoma social science inakufundisha kuongea pumba big up kwa hilo” “Don't believe every thing you read”
KALAPINA AME EXPRESS MAWAZO YAKE KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK, NA HIYO ILIKUA BAADA YA SOUDY BROWN KUSHARE STORY ALIYOISOMA NDANI YA MTANDAO HUU KICHWA CHA HABARI KILISEMA “NIKKI PILI: MIMI SI MUUMINI WA DINI YA KIISLAMU WALA DINI YA KI KIKRISTO"
ALICHO COMMENT KALAPINA NI HIKI HAPA:
KalApina Kikosi Cha Mizinga “Ndo vi freemasons hivyo na tutavichinja”
KalApina Kikosi Cha Mizinga “Mtoto mdogo sana hatumii akili anapoongea”
KalApina Kikosi Cha Mizinga “mi nashangaa wamempa usemaji wakati gnako angefaa sana kuwa msemaji wao yuule mtoto pumba akiongea”