Wednesday, April 4, 2012
JCB NA WATENGWA KWENDA PARIS KURECORD FULL ILE LAANA VOL.2
Ufaransa kuna taasisi inaitwa UUKSA wameandaa tamasha la muziki LINAITWA Festiv'Al Arrach litakalo husisha performance ZA wasanii kutoka sehem mbalimbali duniani ikiwemo familia ya WATENGWA from Arachuga Tanzania WAO NDO WAHUSIKA WAKUU, NI TAMASHA AMBALO LINALENGA KUPROMOTE UTAMADUNI WA AFRIKA MASHARIKI
LITAKUA NI TAMASHA LA MWEZI MZIMA (WATENGWA WATAPIGA SHOWS, WATAKUA NA STUDIO SESSION, RADIO INTERVIEWS NA PIA WATATENGENEZA DOCUMENTARY, NA RECORDINGS ZA NGOMA ZAO ("Full Ile Laana Vol.2") ITAFANYIKA KATIKA MIJI YA PARIS NA MARSEILLE
KIFUPI TOUR YAO INAITWA Watengwa 2 France, a musical Safari !!
WANAOTARAJIWA KWENDA KTK TOUR HIYO KUTOKA WATENGWA NI YUZO,CHINDO NA JCB, TUMEJARIBU KUCHEK NA JCB, AKASEMA KWA SASA HIVI BADO HAJAWA TAYAR KUIZUNGUMZIA TOUR HII, LAKINI KUPITIA MTANDAO WA www.kickstarter.com IME ANDIKA HABARI HII
Comments System
facebook