Member wa familia ya "Watengwa" JCB
Ufaransa kuna taasisi inaitwa uuksa wameandaa tamasha la muziki linaitwa festiv'al arrach litakalo husisha performance za wasanii kutoka sehem mbalimbali duniani ikiwemo familia ya watengwa from arachuga tanzania wao ndo wahusika wakuu, ni tamasha ambalo linalenga kupromote utamaduni wa afrika mashariki
Litakua ni tamasha la mwezi mzima (watengwa watapiga shows, watakua na studio session, radio interviews na pia watatengeneza documentary, na recordings za ngoma zao ("full ile laana vol.2") itafanyika katika miji ya paris na marseille
Kifupi tour yao inaitwa watengwa 2 france, a musical safari !!
Wanaotarajiwa kwenda ktk tour hiyo kutoka watengwa ni yuzo,chindo na jcb, wataondoka mwishoni mwa mwezi huu wa nne.