Tuesday, April 24, 2012

JE NI KWELI JUMA NATURE AMEKIMBIWA NA WIFE WAKE?

Kushoto Juma Nature enzi hizo ktk Harusi yake na Mwanadada Pili
Kwa muda mrefu kumekua na Rumors kitaani kwamba, Huenda Msanii wa Muda Mrefu katika Game ya Bongo Flava, Juma Kassim Nature amekimbiwa na Ubavu wake mwanadada Pili waliyefunga nae ndoa mwaka 2007 kama sikosei, Rumorz hizo zimekolea hasa baada ya mwanadada huyo kuonekana Jijini Mwanza akipuyanga katika mitaa mbalimbali,
Juma Nature alipoulizwa juu ya ishu ya hiyo na kipindi cha XXL ya Clouds fm Leo, amefunguka kuwa Mwanadada yuko Mwanza kikazi, kwani ameajiriwa na Bank flani so amehamishiwa katika Tawi la Huko
zaidi mskize Juma Nature akifunguka ndani ya "YOU HEARD" ya XXL/CLouds Fm


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.