Lulu Michael
Kutokana na utata wa
kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba The Great,mpaka sasa hivi inadaiwa kuwa Lulu ndo
atakua anajua kilichotokea chumbani kabla ya kifo cha Kanumba, kwani walikua
wote chumbani kama wapenzi, kabla ya mwanadada huyo kmwita ndugu wa kanumba na
yeye kutoroka,
Sasa baada ya
kukamatwa na Polisi, Lulu amegoma kutoa maelezo polisi mpaka mwanasheria wake
afike, na vile vile ameomba arekodiwe kila atakachoongea ili ushahidi usije
ukapindishwa.
So polisi hawana
budi kusubiri mpaka mwanasheria wa Lulu atakapofika.
Kwa wakati huu Lulu na yule mwanaume aliyekamatwa nae wamewekwa chini ya Ulinzimkali wa polisi.
Kwa wakati huu Lulu na yule mwanaume aliyekamatwa nae wamewekwa chini ya Ulinzimkali wa polisi.