Saturday, April 14, 2012

NIKKI WA PILI: MIMI SI MUUMINI WA DINI YA KIISLAMU WALA DINI YA KI KIKRISTO


Nikki wa Pili with watoto wazuri wa Kiafrika kama Mfalme Mswati
Rapper Nickson Simon, Famous by His stage name Nikki wa Pili Kutoka Label ya Weusi hivi karibuni amefunguka kuwa yeye si muumini wa Dini maarufu duniani kama Islam na Christian, bali yeye ni mfuasi wa dini za kiasili (Dini ya Kabila la Wachaga) Nikki amesema kuwa anaamini katika Utu na Upendo miongoni mwa wanadamu kwani hivyo ndo vitu muhimu kwenye Life, na kuongeza kuwa hiyo haimaanishi kuwa eti haamini kuwa mungu hayupo, Big Nooo…..  Anasema kuwa anaamini mungu yupo bali ana mwabudu kiasili zaidi, kwani Kabla ya Ukoloni kufika Waafrika wote tulikua na dini zetu, vitu kama Amri 10 zilikuwepo  ila hazikua Documented (Hazikua zimeandikwa)Na walipokuja wakoloni ndo wakawashawishi Babu zetu kubadili dini zao.
Story kwa hisani ya XXL ya Clouds fm
skiza latest song by Nikki wa Pili:

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.