Friday, April 13, 2012

YOU HEARD YA LEO NDANI YA XXL YA CLOUDS FM, INAMHUSU YOUNG DEE "ASABABISHA DADA FLANI KUSHINDWA KUTOLEWA POSA, BAADA YA JAMAA YAKE KUHISI MPENZI WAKE ANATOKA NA YOUNG D


Rapper Young D
Kichwa cha habari: Young D asababisha dada wa watu asiposwe na jamaa yake, na hiyo ilikua ni muda mfupi Kabla washenga hawajaenda kwa kina huyo dada Kutoa Posa, inasemekana Mchizi aliposhtukia mchezo tu, akawavutia wire washenga wake wa Stoooooop!! skiz a mzigo hapo chini:


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.