Thursday, April 5, 2012

BAADA YA STOPA KUPOTEZA MIXTAPE NA ALBUM YAKE KTK MAZINGIRA YA KUTATANISHA, Q THE DON WA MO RECORDS AMFUTA MACHOZI KWA KUMPA OFFER YA KUZIRUDIA NGOMA HIZO KATIKA STUDIO YAKE BUREEE

               Mturutumbi Stopa The Rhymecca
WIKI KADHAA ZILIZOPITA KUPITIA 255 KULIKUA NA STORY INAYOMHUSU YOKOI STOPA THE RHYMECCA, AMBAPO YEYE ALIPOTEZA MINI HARD DISK MAENEO YA KIMARA NA AKAOMBA YEYOTE ATAKAYE IONA KAMA VIPI AMRUDISHIE, KWA BAHATI MBAYA DESIGN ALIYEIOKOTA AMEMINYA, LAKINI KTK MINI HARDISK HIYO KULIKUA NA HIS UP COMING MIXTAPE NA ALBUM, NA HAKUA NA COPY YA NGOMA HIZO KWA ASILIMIA KUBWA, SO BAADA CRISIS HIYO KWA STOPA, PRODUCER WA BOOM BYE BYE YA STOPA PAMOJA NA MATUSI YA BONTA, AMEMFUTA MACHOZI STOPA KWA KUMPA OFFER YA KUZIRUDIA KAZI HIZO, NA KWA WAKATI HUU STOPA YUKO ZAKE MWANZA TANGU MWANZONI MWA WIKI HII NA KAZI IMESHA ANZA

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.