Matonya
BAADA YA MUHARIRI KUPATA TAARIFA KUWA ETI PANDE ZA HANDENI MSANII MATONYA KAMA ANADAIWA HIVI, BAADA YA KUONDOKA NA MPUNGA WA PROMOTA HAJI, SHILINGI LAKI TANO, NA PIA PROMOTA HUYO AKADAI KUWA MATONYA AMACHA VI BILL BILL VYA CHIPS NA VINYWAJI NA PIA ETI ALIONDOKA NA SHUKA LA GESTI, PROMOTA HAJI AKAONGEZA KUWA TAYARI AMESHAONGEA NA MGANGA FLANI WA KIENYEJI KWA AJILI YA KUMROGA MATONYA AOKOTE MAKOPO KABISA, HAPO NDIPO MUHARIRI WA GAZETI HILI AKAAMUA KUMVUTIA WIRE MATONYA ILI KUPATA KAULI YAKE KAMA NI KWELI AU SI KWELI, BILA KUTEGEMEA KAKA YAKO MATONYA AKAPOKEA SIMU NA KUDAI KUWA TYME HIYO ANAKATA GOGO |