Monday, April 29, 2013

YOU HEARD: IRENE UWOYA AKANUSHA KUPIGWA NA LINEX, YEYE NA NDIKUMANA WAMZUNGUMZIA DIAMOND

Ze Ndikumana'z IRENE UWOYA NA SHEMEJI YETU NDIKUMANA wakiwa wame'beba mtoto wao
Baada ya kuwepo rumors kuwa Actress Irene Uwoya amekula kichapo kutoka kwa Artist Linex, muhariri ikabidi nivute wire kwa uwoya, na nilipomuuliza aka kanusha taarifa za kuchapwa na Linex pande za samaki samaki mlimani city jijini dar es salaam, muhariri sikuishia hapo kwa kuwa mwanadada alisema tyme hiyo yuko hospitali kwa ajili ya matibabu ya mwanae anakaribia kufikisha miaka miwili, kiuchokozi nikamuuliza alipo Ndikumana, huku nikijua kabisa kuwa watakua hawako pamoja kutokana na story kuachana kwao kusambaa kwenye magazeti pendwa, uwoya alikanusha kuachana na Ndiku na akanipa simu niongee na bwana mkubwa, patamu hapo.... NDIKUMANA akadai kuwa hizo ni story tu za magazeti na si kweli kuwa DIAMOND anatoka na wife

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.