Tuesday, April 30, 2013
VIDEO: BEN POL NA TABLA WAKUTANA KWA MARA YA KWANZA NDANI YA XXL
Amini usiamini lakini ukweli ni kwamba zaidi ya miezi miwili iliyopita Rapper Tabla alimshirikisha Ben PoL kwenye chorus ya ngoma yake inaitwa INAKATISHA TAMAA , sasa hivi ngoma hiyo ni kikii na wiki iliyopita ilikua kwenye chart ya bongo tano kubwa kuliko ya bongo flava ya clouds fm, chart ambayo inatokana na request za waskilizaji wa radio ya watu, cheki jamaa hao walipokutana ndani ya kipindi cha XXL
Comments System
facebook