Leo Kwenye Gazeti La Makorokocho / You Heard ya XXL story ilikua inamhusu mtangazaji wa Radio flani, baada ya kuona kuna mwanadada anampiga kibuti, basi akaona dawa yake ni kumtafuta mtaalamuna wa masuala ya jadi jadi ili aweze kupatiwa kizizi, ndipo akamshtua shuhuda wetu wa Iringa amsaidie akasafiri kutoka Dar es salaam mpaka IRINGA, mama mmoja akamsaidia kumpeleka kwa mganga wa kienyeji, hatimaye mtangazaji wa radio maarufu bongo akasaidiwa, zaidi skiza hapo chini