|
Bonta |
Rapper Bonta au muite Maarifa, amefunguka kuhusu rumors zilizokuwepo mtaani kuwa eti ameamua kuacha muziki na kuendelea kufanya kazi yake udaktari aliyoisomea, sasa akizungumzia uvumi huo bonta anasema taarifa hizo c za kweli japo zinafanana na ukweli, kwani anaona muziki wa wasanii wa hip hop ngumu kama yake hawapati mashavu ya kutosha kwenye media mbalimbali....., akaongeza kuwa wasanii wachanga wamekua wakihisi msanii kama yeye ana mafanikio ya kimuziki wakati yeye anajiona bado sanaaaaaaa