Thursday, May 2, 2013
BENDI YA ROCK YATOA HESHIMA KWA THE LATE CHRIS KELLY WA KRIS KROSS, KWA KU PERFORM HIT YAO
Bendi ya Rock ya Deftones iliwapagawisha mashabiki wake wakati wakiwa wana perform ST LOUIS nchini marekani, kwa kuperform wimbo wa KRISS KROSS uliotoka zaidi ya miaka 20 iliyopita na kifikia namba moja katika chart za billboard, wimbo unaoitwa Jump ikiwa ni heshima kwa marehem Chris Kelly aliyefariki siku ya jumatano wiki hii, majamaa wa bendi waliweka uzungu wao pembeni na kutumbuiza ki hardcore huku wakichanganya vyombo vyao katika style ya Rock na Hip Hop
Comments System
facebook