Thursday, December 22, 2016

Wiz Kid Noma Cheki Hii Ngoma Yake Mpya..



Msanii kutoka Nigeria Wizkid, ambaye yeye anazidi kutudhihirishia kuwa ni mwendo wa Hit baada Hit kwani
tayari ameshafanya hilo na tujue kabisa kwamba yeye sio msanii wa mchezo mchezo.



Kupitia ukurasa wake wa Instagram, kwa siku ya jana WizKid alitoa kionjo cha wimbo wake mpya unaoitwa 'Daddy Yo'.



Mpaka sasa bado ajaweka wazi kuhusu ujio wake huo, kama atatoa lini ngoma hiyo.



Unaweza
kusikiliza wimbo huo hapa chini.



A video posted by Wizkid (@wizkidayo) on

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.