|
Kitale |
Comedian maaraufu kwa style ya kiteja teja, Kitale hivi karibuni ameonekana akiwa katika new look ya kisharo milionea milione, mshkaji wa karibu ambaye mpaka anaaga dunia mwishoni mwa mwaka jana walikua wana mipango kibao ya kazi, na kazi zingine tayari walikua wameshaanza kuzifanya, alipoulizwa na muhariri wa gaeti la makorokocho kwamba kwanini amefanya style hiyo ya kuweka rangi ya dhahabu kwenye nywele zake kama alivyokua akifanya marehemu sharo milionea? kitale akajibu kuwa si kwamba sasa hivi ndo amemkumbuka sharo, noooo bali kila kukicha anamkumbuka sharo na hivi karibuni akaona sio kesi akiweka style hiyo