Wednesday, May 8, 2013

PICHA : STUDIO MPYA YA DA WIKEND CHAT SHOW YA CLOUDS TV HATAREEEEE

Baada ya kupata taarifa kuwa kipindi kinachoruka Every Friday kuanzia saa nne ucku  D' WIKEND CHAT SHOW/ CLOUDS TV kina studio mpya, Jana usiku Muhariri wa Gazeti La Makorokocho nikaamua kutembelea studio hiyo, nilichokikuta huko, Nooooooma kweli, yani Bo bo bo boooooonge la studio, sina haja ya kutiririka sana wakati mi picha ipo hapo.
Host wa D' Wikend Chat Show QUISER THOMPSON


Host : Lady Haha


Producer wa LEO TENA ya Clouds fm "ADRIAN KANENO"
alikuepo kushudia studio hiyo mpya



on the one n two ni DJ...............

Yeah we love tha Show
Ukutani


Picha za wasanii mbalimbali wa kimataifa na wa muziki wa kizazi kipya zimetupiwa ukutani
hii ni set up ya DJ
muonekano wa juu CD zimepangwa kurembesha studio

Mafundi waki set mipango


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.