Tuesday, September 30, 2014

VIDEO: MAMA WEMA SEPETU APOROMOSHA MATUSI YA NGUONI

Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu Jumapili iliyopita kwenye Birthday ya mwanae alitumia fursa hiyo kuvurumisha makombora kwa watu waliowahi kumtengenezea picha za graphics akiwa mtupu, Wema alijaribu kumsihi mama yake atulie lakini bi mkubwa alimzuia na kumwambia amwache.... Mama huyo alisema ameshawafahamu wabaya wake na Wabaya wa Wema kuwa ni team Dengue.....
Angalia Video hii hapo chini

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.