Monday, May 6, 2013

PICHA ZA SHOW YA KIKOSI CHA MIZINGA AT MAISHA CLUB, KALAPINA AMTUHUMU CHIDI BENZ KUTAKA KUHARIBU SHOW YAKE


Nash Mc a.k.a Kaka Suma
One The Incredible, Nash MC na Nikki Mbishi
 
Nabii Koko a.k.a KALAPINA NA FAN





P The MC na Nash MC
Nikki Mbishi na Chidi Benz

Chidi akaanza kutiririka
 wakati chidi anatiririka nikki mbishi design akawa anaskilizia flani hivi

si ndo Dj akaizima ile wireless mic, Chidi akawa kama anamwakia

Ngoja nikufate dogo, si hutaki kuwasha mic
KALAPINA SASA.... AKATOA ONYO KALIII

AKAMCHEZESHEA VITASA SHOW IKAENDELEA



PICHA KWA HISANI YA http://dagztz.blogspot.com/

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.