Wednesday, May 8, 2013

TEASER : JUMA NATURE NA TMK HALISI KUTAMBULISHA NGOMA YAO INAITWA "FITINA" NDANI YA XXL YA CLOUDS FM LEO


Juma Nature na members wa TMK HALISI
kundi la tmk Halisi linaloongozwa na Juma nature leo linatarajiwa ku drop ngoma yao inaitwa Fitina, na gazeti la makorokocho limeiskiza ngoma hiyo lakini mh.. ni kama kuna dongo limepigwa kwa mtangazaji wa kituo flani cha tv ambaye wiki kadhaa zilizopita alimtoa nje kwenye Interview Juma Nature, let wait tutaliskiza leo ndani ya XXL ya clouds fm.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.