VIDEO : LIL WAYNE AKITANGAZA KIATU CHAKE KIPYA AINA YA SPECTRE BY SUPRA
Hakuna mtu anayebisha kuhusu umaarufu wa chata ya Supra katika viatu bongo na dunia nzima kwa ujumla, hii ni design ya LIL WAYNE inaitwa "SPECTRE" itakayotoka tarehe 18 mwezi huu...