Monday, May 13, 2013

YOU HEARD : MATONYA "NAMDAI SHILOLE PESA ZANGU" NAMNYATIA NIKIMDAKA ATAKOMA

Matonya / Tonya Business

VS

Shilole
Bongo Flava artist Matonya kupitia YOU HEARD ya XXL ametiririka kuwa eti anamdai Msanii mwenzake maarufu kama Shilole pesa kibao, ambazo yeye matonya alizotoa kama malipo ya show ambayo Shilole alitakiwa kwenda kuifanya mkoani Singida, kwa mujibu wa Matonya ametiririka kuwa Shilole hakuenda kwenye show hiyo na kila akimpigia simu haipokelewi, MUHARIRI Ikabidi nicheki na Shilole na hakuweza kupatikana ikabidi nicheki na meneja wake anayefahamika kama Hamza Bala yeye akatiririka kuwa hakuna taarifa kama hizo bali wao ndio wanamdai matonya kwa sababu amewachafulia Branda yao, na very soon wanaenda mahakamani.
skiza you heard hapo chini

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.