Kama umewahi kufanyiwa massage (kukandwa) na kinadada wa kibongo mwenzako Ommy Dimpoz leo ameringishia kufanyiwa massage na mwanadada wa kichina. Dimpoz ameandika This is how i spent my sunday after Voting... Tafsiri "hivi ndivyo nilivyoitumia jumapili yangu baada ya kupiga kura
PART 1
PART 2