Friday, July 19, 2013

MOVIE TRAILER : MANDELA "LONG WALK TO FREEDOM"



Ni hivi karibuni tu mzee Nelson Mandela a.k.a Madiba Baba wa Taifa la Afrika Kusini ametimiza miaka 95 ya uhai wake hiyo ilikua tarehe 18 mwezi huu wa Saba, huku afya yake ndo ikiwa inatengemaa japo kwa miezi ya hivi karibuni Hali yake kiafya ilikua tete, pande za Hollywood marekani limetengenezwa bonge la movie ambalo limepewa jina la kitabu alichowahi kuandika mzee Madiba "Mandela: Long Walk to Freedom" kitabu alichokitoa mwaka 1994 masiku machache tangu atoke kwenye kifungo cha miaka 26 jela, kilichotokana na harakati zake za kupigania haki ya mtu mweusi ambaye alikua akibaguliwa nchini South Africa, So movie hiyo imeonyesha harakati zote za Nelson Mandela na wenzake wa Chama cha A.N.C mpaka wakaja kufanikiwa kuijenga Afrika Kusini yenye usawa. Movie hii ameigiza
Idris Elba stars, alongside Skyfall‘s Naomie Harris as Winnie Mandela, in a movie that aims to look at the whole scope of Mandela’s life.
na inatarajiwa kuonyeshwa kwenye Theatre kuanzia November

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.