|
Cover Art ya "Asante" Song By AY |
Rapper Ambwene Yesaya leo ametambulisha ngoma mpya inaitwa Asante na amemshirikisha Dela kwenye Chorus, na kwenye Outro ameskika Diamond Platinum, Production ya Marcochalli wa MJ Records, Enyoy na Ku download Dude hili jipya.