Tuesday, February 11, 2014

BRAND NEW SONG: BEN POL FT JOH MAKINI - UNANICHORA (PRODUCED BY FUNDI SAMWELI

Another Hit kutoka kwa One of the Best RnB Singer Ben PoL ameshirikishwa Joh Makini inaitwa Unanichora Production ya Fundi Samweli wa Usanii Production Studios, katika Ngoma Hii Ben Pol anasema aliyoyaimba humo yamewahi kumtokea, kwani amezugumzia jinsi ambavyo mtu anaweza kuwa mpenzi wake lakini Mpenzi huyo anakua na urafiki wa karibu na watu ambao hawapendi kuwaona wao wakiwa pamoja, Ngoma imetumia mwezi mmoja kutengenezwa kwasababu Fundi Samweli alikua Sweeden hivyo akamtumia Beat Ben Pol Tanzania, Ben akaingiza Vocal kwa Emma The Boy T.H.T Studio kisha akazituma kwa Fundi thats why ikachukua muda wote huo. Download Dude Hili ni Free.......

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.