Wednesday, February 12, 2014
SIKU YA RADIO DUNIANI (WORLD RADIO DAY) SALUTE KWA MTANGAZAJI WA KWANZA WA KIKE TANZANIA
Leo ni Siku ya Radio Duniani (World Radio Day) 13th February Siku inayoadhimishwa na shirika la umoja wa mataifa la Unesco, mimi kama mfanyakazi wa Kituo cha Radio Clouds fm nina ushuhuda mwingi jinsi ambavyo radio imebadilisha mtazamo wangu, navyokitegemea chombo hiki katika kupata taarifa mbalimbali, burudani kifupi naipenda radio sana sana, Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wamiliki wa Radio Stations Globally Big Boss Joseph Kussaga(Clouds fm) Wafanyakazi wa Radio stations coz kazi mnayofanya si yakitoto, Salute kwa Bibi yake Soudy Brown (Bibi Khadija Said mtangazaji wa Kwanza wa Kike Tanzania) mtangazaji wa kwanza mimi Kumfahamu kumskiza kuishi nae na kuni fundisha, Salute kwa Mr Mandi Hamis (B-Dozen) kwa kuniamini na kuni empower, nahisi naendelea Vizury Yo Genius Man, pia kuna wengine weeeengi wame play part kubwa kunijenga i Salute You, Special thanx kwa Mskilizaji wa Clouds fm, Artists, Actors & Actress the List Goes on and On
Comments System
facebook