Ilikua
inasemekana weee wakaulizwa wakachomoa hatimaye Mahusiano ya kimapenzi
kati Diva na King Crazy GK yako wazi wazi sio siri Tena kitu Pyaaaaa
baada ya Mtangazaji huyo wa Clouds fm kupost picha kwenye ukurasa wake
wa Instagram huku anaonekana Kamanda wa East coast Team akim'bandika
busu moja la shavu linaonekana kuwa linatoka Kumoyo,
Post ya Diva on Instagram |
Patamu
hapo!! kwa haraka haraka usingeweza hata kuhisi kama watu hawa wawili
wanaweza kushare Apple kutokana na GK kuwa Gangstar flani hivi na Diva
kuwa na mtazamo wa kisista Duu sanaaaa, lakini ndo hivyo mambo
hadharani, i hope siku moja watakuja kufunguka jinsi ambavyo walikutana
mpaka wakaamua kuanzisha mahusiano, nawatakia maisha mema kitu mpaka
ndoa miaka mia naneeeeeeeeeeeee...................