Thursday, March 13, 2014

MAAJABU YA SAUTI YA BARNABA (THE MIRACLE VOICE OF BARNABA TV SHOW)

Barnaba
Barnaba Boy kutoka Tanzania House of Talent amefunguka kuwa kuanzia mwezi wa sita mwaka huu ana mpango wa kuanza kurusha kwenye mtandao wake kipindi cha Tv alichokipa jina la The Miracle Voice of Barnaba, kupitia kipindi hiki Barnaba ametiririka kuwa maudhui ya kipindi hiki ni muziki na lengo ni kutoa darasa kwa wasanii wenzake ambao wanahit lakini hawajawahi kupitia madarasa ya muziki lakini pia wasanii wachanga atakua anafundisha jinsi ya kutumia sauti vizuri kitaalam,  Barnaba ameuambia mtandao wa makorokocho.co kuwa kwa wakati huu yuko busy kutafuta wadhamini ili kufanikisha kipindi hiki ambacho kitakua kinaonyeshwa kwenye website yake pamoja na channel yake ya You Tube pekee.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.