Kushoto ni Frank Gonga na Ali Kiba |
Kwa wakati huu Mkataba huo umeisha na Ali Kiba yuko huru ndio maana ameungana na Abdu Kiba wakaachia project ya pamoja.
Ali Kiba hajamtaja Meneja huyo lakini inawezekana akawa ni Frank Gonga, naendelea kumtafuta Frank Gonga ili afunguke kuhusu ishu hii.