Monday, June 2, 2014

PICHA: MKUBWA NA WANAWE WALIVYOTIFUA VUMBI FLAVA NITE MZALENDO PUB

Jumamosi iliyopita Mkubwa na Wanawe, bendi inayoundwa na Vijana walio chini ya Mkubwa Fela TMK walitifua Vumbi ndani ya Flava Nite pale Mzalendo Pub Millenium Towers Makumbusho Dar es salaam, mamia ya watu walifurika na kuburudika na Show Kali iliyotolewa na Vijana hao wakiongozwa na Dogo Aslay




















































Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.