Tuesday, June 3, 2014

YOU HEARD: DIVA AWABADILIKIA KINA CHEGE NA TEMBA

Hii ni moja kati ya picha zilizopigwa kwenye Video ya Wauwe ya Temba na Chege
Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds fm Loveness Malinzi a.k.a Diva leo kupitia Kipengele cha You Heard ndani ya XXL ya Clouds fm ametiririka kuwa licha ya kushiriki kwenye upigaji picha wa Video "Wauwe" ya Kina Chege na Temba hataki wasanii hao watumie Scene yoyote anayoonekana, nilipomuuliza kwanini akajibu kuwa Meneja wake (Diva) ameamua iwe hivyo kwani yeye Diva amesign nae mkataba ambao haruhusiwi kushiriki kwenye Video za wasanii wengine, Diva anasema kingine wasanii wamekua wakipost picha za behind the scene zenye Ubora mdogo kwenye Mitandao ya Kijamii, akaongeza Meneja wake aliwasiliana na Chege kumpa taarifa hiyo akajibiwa kuwa atoe laki 5 na nusu, baadae tena akabadilisha wapewe milioni moja na nusu na itolewe kabla ya leo saa sita mchana, akatiririka kuwa yeye Hawezi kutoa Mkwanja huo anachotaka Sehem ambazo anaonekana zifutwe, simu za chege hazikuweza kupatikana ikabidi nimpigia Meneja waka Mkubwa Fela yeye akasema hajui kama kuna mabadiliko yoyote na yeye hakuhusika na kuongea na Diva.
Baada ya naaendelea kuwatafuta Kina Chege nikimpata nitakujulisha ndani ya gazeti letu.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.