Monday, July 21, 2014

HATAREEEEE! ILE BEHIND THE SCENE YA PHOTOSHOOT KALI YA MODELS WA KALI HII HAPA,TAZAMA

                                                             HATAREEEEEEE!!
EJ FASHION & MEDIA inaletwa kwenu new project {photoshoot project} na hiyi hapo juu ni nyuma ya lenzi ya yalio jiri kwenye zoezi hilo la kupiga picha kwajili ya kutangaza wanamitindo wetu na kukupa wigo wewe mfanya biashara{duka languo/vipodoz},mwanamuziki,waongozaji wa
video mbali mbali{filamu/muziki}watengenezaji na watayarishaji wa matangazo{video na mabango}
na wadau wote wenye fulsa kwajili ya models,unaweza chaguwa na kupata models unaitaji.
shukurani kwako shabiki wetu kwakuendelea kutufwatilia na kutupa support.
asante pia kwa models wote walioshiriki,na crew nzima.
PICHA ZA ZILIZO PIGWA SASA ZIPO HAPA https://www.facebook.com/EjFashionMedia
Tegemea mengi mazuri toka kwetu  
imezaminiwa na makorokocho.com
                         

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.