|
KITALE |
Familia ya The Late Sharo milionea imemteua aliyekua swahiba wa mtoto wao Comedian Kitale Rais wa Mateja asimamie zoezi zima la kumwombea kura Sharo milionea ili aweze kupata kili tanzania music award, katika categories za Wimbo bora wa kushirikiana, na wimbo bora wa bongo pop, jinsi ya kumpigia kura Kitale ameandika kwenye ukurasa wa facebook:
(1) wmbo bora wa pop (2) wmbo bora wa
kushirikishwa: kumpgia kura sharo andika BP3 kwnda 15345 (1) ya (2) BR1
Kwnda 15345 mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amin.