Friday, July 18, 2014

VIDEO: Linah - Ole Themba (Official Video)

Brand New Video ya Linah, aliyoifanya nchini afrika ya kusini kuanzia Audio aliyoifanya chini ya Uhuru na Video iliyosimamiwa na Director God Father, Video hii imemgharimu Linah na Record Label inayosimamia muziki wake (No Fake Zone) dola 40,000 za kimarekani sawa na milioni kama 70 za kitanzania.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.