Thursday, August 14, 2014

Brand New Song : Roma & Bob Junior - Maumivu

Hii ndio Collabo mpya na ya Kwanza kutoka kwa Roma Mkatoliki na Bob Junior Sharobaro, ngoma hii imefanyika baada ya ahadi ya Roma siku ambayo Brazil ilichapwa goli 7 - 1 na timu ya taifa ya ujerumani kwenye fainali za kombe la dunia na kwa kua Roma aliahidi kuwa iwapo Brazil ingetolewa kwenye robo fainali basi yeye angehama kutoka Record Label ya Tongwe na angehamia kwa Bob Jr sasa ahadi ni deni na deni lenyewe ndio hili, download mzigo ni free for Promo only

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.