September 2 ya 2016 imeingia katika historia kwa maisha ya Shamsa na Rashidi baada ya kufunga ndoa rasmi baada ya swala ya ijumaa nyumbani kwao na sahamsa kwa mzee Ford sinza Africa sana.
Ndoa hiyo ilishuhudiwa na wasanii wenzake wa filamu pamoja na wasanii wa muziki, video hii itakuonyesha matukio yote yaliyofanyika katika ndoa hiyo.