Sunday, October 19, 2014

B Dozen ndie Mtangazaji wa Kwanza Africa kufanya mahojiano na T.i

Hamis Mandi a.k.a B Dozen ndiye mtangazaji aliyepata nafasi ya kufanya mahojiano Na Rapper T.I aliyekuja nchini Kwa ajili ya Tamasha LA Serengeti Fiesta lililofanyika juzi kinondoni leaders Club, ikumbukwe kuwa hii ni Mara ya kwanza Kwa T.I kuja bongo hivyo basi baada ya kuona picha hii kwenye page ya B Dozen akiwa na T.i huku Dozen akiwa ameshika Mic sina wasiwasi kutamka kuwa B Dozen ndio mtangazaji Wa kwanza kufanya mahojiano Na T.I ndani ya Africa.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.