Monday, September 12, 2016

Rosa Ree Wa The Industry Awachana Wanaodhani Yeye Ni Muuza Sura



Miaka ya nyuma gemu ya bongo ilitawaliwa na marapa kibao wa kike wakiwemo zay b pamoja na sister p wakaja wengine kama dataz,da’joh na rah p ambaye alivuma na kibao chake cha “hayakuhusu”
Sasa game imebadilika na kumeibuka ma rapa wa kike hatari wakiwemo kama wakina chemical,Tifa na wengine kibao ila mmoja kati ya marapa hatari wa kike hapa bongo kwa sasa mwanadada Rosa ree ambaye ni zao la navy kenzo na ana wakilisha vyema label ya The industrytz chini ya producer Nahreel

Mwanadada huyo ambaye kwa sasa ni gumzo in town kwa style yake ya uchanaji (flow) pamoja na mtililiko wake wa vina jana jumamosi ameibuka na kuwachana wale wote wanaodhani kuwa yeye yupo kwaajili ya kuuza sura pamoja na skendo za mapenzi kama baadhi ya mastar wa kike wa hapa bongo.  

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.