Monday, June 29, 2015

YOU HEARD: MZAZI MWENZAKE NA SHILOLE AKANUSHA MADAI YA KUBAKA


Star wa Bongo flava Shilole mara kadhaa amenukuliwa akidai kuwa eti mtoto wake wa kwanza alipatikana baada ya kubakwa na jamaa mmoja huko kijijini kwao Igunga, sasa baba wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina la Makala ambaye ni mkazi wa Igunga Tabora mfanyabiashara wa kutembeza nguo maarufu kama machinga amekanusha tuhuma hizo na kudai kuwa alianza mahusiano na Shilole tangu anasoma shule ya msingi mpaka mwanadada huyo akamaliza shule ndipo wakaanza kuishi pamoja kama mume na mke hadi Shishi akapata ujauzito na kujifungua,
Chanzo cha Kuachana
Ndugu Makala anadai kuwa eti kitambo hiyo Shilole alikua hajatulia, 
sikiliza mahojiano hayo kati ya Makala na Soudy brown

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.