Tuesday, October 21, 2014

Mtanzania "Diamond achunguzwa na Jeshi"

Kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo limeandika habari inayodai kuwa msanii Diamond Platnumz anachunguzwa Na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ Kwa madai kuwa eti alitumbuiza Na magwanda ya jeshi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika jumamosi iliyopita katika viwanja vya Leaders Club, gazeti hilo limezungumza Na Msemaji Wa Jeshi hill Meja Joseph Masanja ambaye alikiri kuanza Kwa uchunguzi Wa kina Kwa Diamond Chege Na Nay Wa Mitego,
Kambi ya Diamond:
Wao wanadai mavazi yanayofanana na magwanda ya jeshi yaliyovaliwa usiku wa fiesta yana Baraka zote kutoka mamlaka husika.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.