STAMINA |
wiki iliyopita rapper young killer na stamina wali release ngoma
ya kwanza kutoka kwenye project yao mpya, ngoma inaitwa jana na leo, siku moja
kabla ya ngoma hiyo kuwa released jamaa ilibidi wazame booth kuirudia coz ile
ya mwanzo ilikua na line zenye utratra kuhusu muasisi wa East coast team/
kamanda Gwamaka Kaihula, Stamina ali rap "Hakuna King chizi kama G.K/ Hiki kipigo cha mwizi kaseme kama Aslay/ sasa akizungumzia Line hiyo Stamina anasema baada ya kuwaskilizisha wadau kadhaa wakamwambia line hiyo italeta tatizo kati yake na msanii mkongwe G.K , so ikabidi amvutie wire kamanda wakakubaliana kwamba stamina aachane na hiyo mistari na ndicho kilichotokea.
skiza kipande hicho kuhusu G.K hapo chini
HAPA CHINI STAMINA ANATIRIRIKA SABABU ZA KUFUTA MSTARI HUO