Thursday, November 20, 2014

YOU HEARD : DIAMOND AWALAUMU MAPEDESHEE KWA KUMWACHANISHA NA WEMA SEPETU

Katika ngoma mpya ya Diamond Platnumz aliyoirelease leo Video na Audio wataalam wa mambo wanadai eti maneno ya ngoma hiyo yanamlenga moja kwa moja Wema Sepetu ambaye wameachana mwezi August mwaka huu, sasa sikiliza uchambuzi wa wimbo huu wa Diamond kama ilivyokua kwenye You Heard ya XXL

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.