Gigy Money Hatamani Kumlea Mtoto Wake Kama Alivyolelewa Yeye
Katika miaka 19 aliyoishi Duniani hakumbuki idadi ya wanaume ambao ameshalala nao
Akiwa amezaliwa katika Familia ya Watoto wanne ambao kila mtu ana Baba yake, kwa upande wake HAKUWAHI KUMJUA BABA YAKE
Mama
yake alimzaa pembeni ya mlango wa choo, na ni mtu aliekuwa akiwa
anaamini hapendwi na Mama yake mzazi kutokana na sababu tofauti kabla
hajagundua ukweli
Aliwahi kujitoa kimwili katika umri mdogo ili apate hela ya kuweza kumnusuru MAMA yake mzazi kulipa Deni la mkopo wa Benki
Ametaja MASTAR WA KITANZANIA ambao ameshawahi kushirikiana nao kingono
Lakini zaidi HATAMANI kumlea mtoto atakaempata katika malezi ambayo alilelewa na mama yake,
Gigy money amepiga stori na Zamaradi Mketeme wa Take One ya Clouds TV, Cheki video hapa chini.