Tuesday, October 28, 2014

PICHA: CHIDI BENZ ATINGA MAHAKAMANI KWA KESI YA MADAWA YA KULEVYA

Chidi Benz akiwa eneo la mahakama ya kisutu
Rashid Makwiru mfalme wa Ilala muite Chidi Benz leo amefikishwa katika mahakama ya kisutu kutokana na kukutwa na Dawa haramu aina Heroine siku ya ijumaa iliyopita ndani ya uwanja wa Ndege JK Nyerere wakati msanii huyo akielekea jijini Mbeya ambapo msanii huyo alipekuliwa na kukutwa na kete 14 za heroine na misokoto miwili ya bangi, Kesi imeahirishwa mpaka mwezi ujao, hivyo amerudi mahabusu, Kesi yake ni nzito anaweza kuhukumiwa Kifungo cha Maisha Jela, iwapo atajitetea vizuri anaweza kuepuka kifungo hicho na kutozwa faini, Chidi Benz anawakilisha maelfu ya Vijana wa Kitanzania waliobobea kwenye matumizi ya Madawa, bado wanahitaji Second Chance, Ku prove kwa jamii kuwa wao walizaliwa ku inspire jamii kuijenga na kuzalisha

#JiepusheNaMakundiHatarishi
#UkimwonaMtejaUsisitekumsimanga mpaka aache
Madawa ya kulevya ni Drugs, Bangi, Mirungi, viloba n.k

Picha kwa hisani ya Michuzi Jr Blog

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.