Hivi karibuni zilisambaa taarifa kuwa Diva loveness Love ametemwa kwenye kituo list ya watangazaji wa kituo cha clouds fm, hiyo ni baada ya mwanadada huyo kutoskika hewani kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu, sasa Diva leo akiwa kwenye mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha The Fix cha Seba The Warrior ametoa kila kitu kuhusiana na Taarifa hizo na kukanusha kutemwa na radio hiyo inashikilia nafasi ya saba Afrika.
Sikiliza full Interview hapo chini........