Baada ya mashabiki Ali kiba kusubiri kwa muda mrefu ujio wa video ya wimbo wa Mwana aliouachia zaidi ya miezi mitatu iliyopita, Hatimaye leo Ali Kiba ameachia video ya Mwana aliyoifanya na Director anayelipwa pesa nyingi Africa anayeitwa God Father mnijeria mwenye ofisi zake ndani ya South Africa, Director huyu pia ametumika kutengeneza Video ya Diamond ambaye anachukuliwa kuwa ni mpinzani wa Kiba lakini pia ametengeneza Video ya Sheta "Kerewa" na amewahi kufanya kazi na Mzee wa Commercial Ambwene Yesaya (A.Y)
cheki Official video ya Ali Kiba Mwana hapo chini