Amber Rose mwenye asili ya
Creole,Ureno na Italia aliendelea kueleza kuwa kuna baadhi ya ndugu zake
wanaendelea kuwatenga watu wenye ngozi nyeusi na kuamini kuwa ngozi zao nyeupe
zinafanya wawe bora siku zote,Ni kitu kibaya sana but mimi sina tatizo na ndugu
zangu na kila mtu anamaisha yake ninawapenda sana ndugu zangu na tuna
heshimiana… Amber Rose aliyaongea hayo
Wednesday, January 21, 2015
AMBER ROSE AFUNGUKA JINSI FAMILIA YAKE ILIVYO MTENGA KISA WIZ KHALIFA
Mrembo Amber Rose ameweka wazi jinsi familia yake ilivyo mtenga baada ya
kuolewa na Wiz Khalifa.Aliyaongea hayo kenye documentary iitwayo LIGHT GIRLS kuwa baadhi ya ndugu zake hawakuhudhuria
harusi yake na Wiz Khalifa kwa kuwa aliolewa na mtu mweusi …
Comments System
facebook